Hayo yamesemwa leo Januari 11,2025 jijini Arusha na Waziri wa Afya Jenista Mhagama wakati akikagua na kuzindua chumba cha ...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema usaili wa walioomba ajira kwenye ...
Hussein Ilindilo mkazi wa kijiji cha Chifutuka ameishukuru Serikali kwa kuwaletea gari hiyo, kwani itasaidia kuokoa maisha ya ...
Aprili 4, 2024, Mfanyabiashara, Hassan Usinga maarufu Wembe na msaidizi wake, Anita Mushi walimdhalilisha waziri wa zamani, ...
Amesema hivi sasa Serikali imeanza kutoa fedha hizo katika miradi inayoendelea nchi nzima, kama ambavyo Ruangwa - Nanganga hadi Nachingwea inavyofanyika.
Kiwanda hicho kinachojengwa katika Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe, kinatarajia kuanza kufanya kazi Februari ...
Watu hao wanaoishi Kata ya Monduli Juu wanadaiwa kuishi ndani ya hifadhi ya msitu wa jamii katika Kijiji cha Emairete.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti baadhi ya wananchi wa Kata ya Mpirani, wameishukuru Serikali kwa kukamilisha ujenzi.
Kuna wanamuziki wakali zaidi ya Mondi. Lakini anawazidi kwenye kujiongeza. Mondi anapita sehemu isiyopitika, anamvaa ...
Kuna wakati Bozi Boziana alikuwa amealikwa na wafanyabiashara fulani na akawa na onyesho Oysterbay Hotel, jirani na ilipo Coco Beach kwa sasa. Wakati huo vyombo vyamuziki vilikuwa ...
Lebo yake ya WCB Wasafi imekuwatoa wasanii wengi wakubwa, mmoja wapo ni Rayvanny ambaye ni msanii wa kwanza Tanzania kushinda ...
Wakati Al Hilal na Bravos zikionekana kuwa na rekodi nzuri ya ubabe nyumbani katika mechi za kimataifa, muendelezo wa ubora ...