Kiwanda hicho kinachojengwa katika Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe, kinatarajia kuanza kufanya kazi Februari ...
Watu hao wanaoishi Kata ya Monduli Juu wanadaiwa kuishi ndani ya hifadhi ya msitu wa jamii katika Kijiji cha Emairete.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti baadhi ya wananchi wa Kata ya Mpirani, wameishukuru Serikali kwa kukamilisha ujenzi.
Kuna wanamuziki wakali zaidi ya Mondi. Lakini anawazidi kwenye kujiongeza. Mondi anapita sehemu isiyopitika, anamvaa ...
Wakati Al Hilal na Bravos zikionekana kuwa na rekodi nzuri ya ubabe nyumbani katika mechi za kimataifa, muendelezo wa ubora ...
Lebo yake ya WCB Wasafi imekuwatoa wasanii wengi wakubwa, mmoja wapo ni Rayvanny ambaye ni msanii wa kwanza Tanzania kushinda ...
Dar es Salaam. Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kimataifa Simba na Yanga tayari wamewasili kwenye mataifa ...
Amesema hivi sasa Serikali imeanza kutoa fedha hizo katika miradi inayoendelea nchi nzima, kama ambavyo Ruangwa - Nanganga hadi Nachingwea inavyofanyika.
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) imekifungia kituo cha televisheni cha Al Jazeera kutokana kile ilichokisema ...
Hukumu ya kesi iliyokuwa ikimkabili Rais mteule wa Marekani, Donald Trump imesomwa leo na kumfanya kuwa Rais wa kwanza wa ...
Waziri Mkuu wa Slovakia, Robert Fico ameonya kwamba taifa lake huenda likaisitishia Ukraine misaada ya kifedha na kibinadamu ...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Januari 10, 2025 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka walioteuliwa Latifa ...