Amesema hivi sasa Serikali imeanza kutoa fedha hizo katika miradi inayoendelea nchi nzima, kama ambavyo Ruangwa - Nanganga hadi Nachingwea inavyofanyika.